Habari

Dk.Shein atunuku Nishani za Mapinduzi,Utumishi wa Umma na Ushujaa katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ametunuku Nishani ya Mapinduzi, Nishani ya Utumishi Uliotukuka pamoja na Nishani ya Ushujaa kwa Viongozi, Watumishi…

Soma Zaidi

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa elimu bure kwa Wananchi wake.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa elimu bure kwa wananchi wake kama ilivyo kwa sekta…

Soma Zaidi

Dk.Shein ameweka Jiwe la Msingi Tangi la Maji Saateni.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar inafanya juhudi kubwa katika kuendeleza miradi ya maji safi na salama na si muda mrefu changamoto ya upatikanaji huduma hiyo itakuwa ni historia.Rais wa Zanzibar…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo la Skuli Mpya ya Sekondari Rahaleo Jijini Zanzibar kwa niaba ya Skuli tisa zilizojengwa Unguja na Pemba

DK.SHEIN AMEFUNGUA MAJENGO YA SKULI TISA ZA SEKONDARI UNGUJA NA PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Zanzibar imepata mafanikio makubwa katika sekta ya elimu, kutokana na misingi bora iliyowekwa na muasisi wa…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki katika eneo la Malindi.

DK.SHEIN AMEWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BANDARI NA SOKO LA SAMAKI MALINDI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Zanzibar imo katika mchakato wa kutekeleza uchumi wa buluu na tayari hatua kubwa zinachukuliwa kuhakikisha…

Soma Zaidi

Dk.Shein aweka jiwe la mnsingi Mradi wa miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa ardhi iliyotengwa kwa ajili ya kilimo hapa Zanzibar ni vyema ikatumika kwa ajili ya shughuli hiyo…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Biashara Mombasa Zanzibar.

UZINDUZI WA JENGO JIPYA LA SKULI YA BIASHARA MOMBASA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema Sekta binafsi, ikiwemo biashara zimekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya mataifa mbali mbali Duniani.

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuki Shahada ya Uzamivu ya Kiswahili Bi. Mwanahija Ali Juma, wakati wa Mahafali ya 15 ya SUZA yaliofanyika katika ukum

MAHAFALI YA 15 YA CHUO KIKUU CHA TAIFA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema ni muhimu kwa programu ya Ufundishaji wa Kiswahili kama lugha ya pili (TEKSOL), ikaanzishwa katika ngazi ya…

Soma Zaidi