Habari

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.

DK. SHEIN AMEFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMO WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemuhakikishia kumpa mashirikiano makubwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais, Muungano na Mazingira Mussa Azzan…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Benki ya CRDB ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB Ndg. Ally Hussein Laay.

DK. SHEIN AMEZUNGUMZA NA UONGOZI WA BENKI YA CRDB.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja kwa Benki ya CRDB kuendelea kutoa huduma zake kwa pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Khatib Mwadin Khatib kuwa Naibu atibu Mkuu  Wizara ya Fedha na Mipango katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.

DK. SHEIN AMEWAAPISHA VIONGOZI ALIYEWATEUWA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi mbali mbali kushika nyadhifa baada ya kuwateuwa hivi karibuni.

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Kitabu cha Sheria  baada kukizindua.

MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kuheshimu kazi, majukumu na maamuzi ya Tume za Uchaguzi nchini, kwa kuzingatia kuwa taasisi hizo…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiweka udongo kuunganisha tofali kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI LA MAHKAMA KUU.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imekuwa ikishughulikia sana suala la kuwandalia wafanyakazi wake mazingira mazuri na yaliyo salama ya kufanya kazi ili wananchi waweze kupata huduma kwa urahisi…

Soma Zaidi
RAIS wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe.Sandro Agostinho De Oliveira

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA BALOZI WA ANGOLA NCHINI TANZANIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameupongeza uwamuzi wa busara na wenye tija wa Angola wa kutaka kushirikiana na Zanzibar kwenye sekta ya utalii hatua…

Soma Zaidi

UTEUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu wa Kamati ya Uhamasishaji na Halaiki Zanzibar.

CHAKULA MAALUM KWA VIJANA WA HALAIKI NA WAHAMASISHAJI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameungana pamoja na Vijana wa Halaiki na wahamasishaji walioshiriki katika maadhimisho ya sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi…

Soma Zaidi