Dk.Shein,kuna uhaba mkubwa wa mchanga hivi sasa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi watambue kuwa kuna uhaba mkubwa wa mchanga hivi sasa hapa Zanzibar kutokana na uchimbaji mbaya wa…

Soma Zaidi

Kazi za ujenzi wa Bandari ya Mafuta na Gesi imeanza

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kazi za ujenzi wa Bandari ya Mafuta na Gesi katika eneo la Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja, zimeanza.Amesema…

Soma Zaidi

Uzinduzi wa Skuli ya Kijini Matemwe Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema uzinduzi wa vyumba vya madarsa ya skuli ya Sekondari Kijini, una mnasaba mkubwa na utekelezaji wa Ilani ya…

Soma Zaidi

MAJUMUISHO YA ZIARA YA DK. SHEIN WILAYA YA MAGHARIBI ‘B’ UNGUJA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuridhishwa na utekelezaji wa shughuli mbalimbali za chama na serikali zilizotekelezwa katika Wilaya ya Magharibi…

Soma Zaidi

MAJUMUISHO YA ZIARA YA DK. SHEIN WILAYA YA MAGHARIBI ‘A’ UNGUJA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa migogoro ya ardhi iliyopo katika Wilaya ya Magharibi A, inachingiwa na baadhi ya viongozi wa Wilaya hiyo…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Majumuisho ya ziara yake katika Wilaya ya Mjini Unguja.

MAJUMUISHO YA ZIARA YA DK. SHEIN WILAYA YA MJINI UNGUJA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza suala zima la maadili kwa viongozi ikiwa ni pamoja na kujua wajibu wao na wanao waongoza.

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tangi la Maji Safi na Salama katika eneo la Saaten Zanzibar akiwa katika ziara yake Wilaya ya Mjini Unguja,

DK.SHEIN AMEWEKA JIWE LA MSINGI MRADI YA UJENZI WA TANGI LA MAJI SAATENI ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewaeleza wananchi wa Mkoa wa Mjini kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itahakikisha inaukamilisha mradi wa maji…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa baada ya kuwasili katika viwanja vya Kambi ya JWTZ Chukwani Zanzibar.

DK.SHEIN AMEJUMUIKA NA VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA WALIOSHIRIKI GWARIDE MAPINDUZI YA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameungana pamoja na Wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama waliovyoshiriki katika Maadhimisho ya sherehe za kutimiza…

Soma Zaidi