Habari

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride rasmi la Sherehe za Mapinduzi kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.

MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR UWANJA WA GOMBANI PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kutokana na juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar za kuimarisha uchumi wake ukusanyaji wa mapato…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Wananchi waliotunukiwa Nishani ya Mapinduzi na Uongozi Uliotukuku, baada ya hafla ya kukabidhiwa Nishani hizo.

DK. SHEIN AMETUNUKU NISHANI ZA MAPINDUZI NA UONGOZI ULIOTUKUKA KATIKA VIWANJA VYA IKULU ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ametunuku Nishani ya Mapinduzi, Nishani ya Utumishi Uliotukuka pamoja na Nishani ya Ushujaa kwa Viongozi, Watumishi…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka Jiwe la Msingi la Jengo jipya ya la Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali,na kuzindua Maabara ya Vinasaba (DNA) Maruhubi Zanzibar.

DK. SHEIN AMEZINDUA JENGO LA MKEMIA MKUU WA SERIKALI MARUHUBI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali na Maabara ya Uchunguzi wa Vinasaba (DNA) kujidhatiti…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisoma Jiwe la Msingi la Jengo la ZURA Maisara, baada ya kuweka jiwe hilo.

RAIS WA ZANZIBAR MHE. DK. SHEIN AMEWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA ZURA MAISARA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Mapinduzi ya Januari 12, 1964 yamefanywa kwa lengo la kuleta mabadiliko, uhuru, ukombozi pamoja na kujenga…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEZINDUA BARABARA YA KIJITOUPELE -FUONI MAMBOSASA. ILIOJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Mapinduzi ya Januari 12, 1964 yameleta usafiri wa uhakika wa barabara bora mjini na vijijini hapa Zanzibar.

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Uwanja wa Mao Zedong's baada ya kuufungua rasmin leo Zanzibar.

DK. SHEIN AMEUFUNGUA UWANJA WA MAO TSE TUNG

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekemea tabia iliojengeka nchini ya wanamichezo ku[peleka kesi za michezo mahakamani, na kusema hatua hiyo imekuwa…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Boti ya Mradi wa Vituo vya Uokozi na Uzamiaji vya Kikisi cha KMKM Zanzibar.

DK.SHEIN AMEZINDUA MRADI WA VITUO VYA UOKOZI NA UZAMIAJI VYA KMKM ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imejidhatiti kuwaokoa wananchi wake kutokana na ajali zinazotokea baharini…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Msingi ya Chimba.

RAIS WA ZANZIBAR AMEFUNGUA SKULI YA MSINGI CHIMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kuiunga mkono Serikali yao ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo imeamua kwa makusudi kutoa elimu bure…

Soma Zaidi