Habari

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa meza kuu.

DK. SHEIN AMEJUMUIKA NA VIJANA WALIOSHIRIKI SHEREHE ZA MAPINDUZI KATIKA CHAKULA CHA MCHANA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,leo amejumuika pamoja katika chakula cha mchana na mamia ya vijana na wananchi walioshiriki katika sherehe za maadhimisho…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo.

DK. SHEIN AMEZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amepongeza azma ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), kufanya Kongamano la Kitaifa la kupongeza utekelezaji wa Ilani…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar.

MAADHIMISHO SIKU YA SHERIA ZANZIBAR YAFANYIKA KISIWANI PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa umadhubuti wa nchi pamoja na utajiri wake unategemea kwa kiasi kikubwa jinsi gani nchi hiyo imejidhatiti…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi wa Jamuhuri ya Kiarabu wa Watu wa Misri, Dkt.Ezzaldin O.Abusteit.

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA WAZIRI WA KILIMO NA MUSUALA YA ARDHI WA MISRI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza azma ya Jamhuri ya Kiarabu ya Misri ya kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya kilimo…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo Maliasi, Mifugo na Uvuvi Zanzibar.

DK. SHEIN AMEZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO MALIASILI MIFUGO NA UVUVI ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza azma ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kuanzisha Taasisi ya Utafiti ya Uvuvi na Mazao ya Bahari ili…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Utangazaji Zanziobar (ZBC) na Uongizi wa Shirika hilo.

DK. SHEIN AMEZUNGUMZA NA BODI YA WAKURUGENZI WA ZBC.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza azma ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kuendelea kuliimarisha Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) ili…

Soma Zaidi
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.SHEIN, AKIWAFARIJI FAMILIA YA MUASISI WA CCM ZANZIBAR BI.JOHARI YUSSUF AKIDA.

DK.SHEIN AMEIFARIJI FAMILIA YA MUASISI WA CCM ZANZIBAR BI.JOHARI YUSSUF AKIDA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein pamoja na Mama Mwanamwema Shein wametoa mkono wa pole kwa familia ya Marehemu Bi Johari Yussuf Akida kufuatia…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waziri wa Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Mhe.Balozi Ali Karume, wakifuatilia moja ya nyimbo ya kikundi hicho.

DK. SHEIN AMEHUDHURIA TAARAB RASMIN YA KUADHIMISHA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Omar Hassan ‘King’ amesema tayari Wizara hiyo imekipatia Kikundi cha Taarabu cha Taifa ofisi za kuendeshea shughuli zake pamoja…

Soma Zaidi