RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amewapisha watendaji mbali mbali wa Wizara za Serikali aliowateuwa hivi karibuni kushika nyadhifa zao .

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amewapisha watendaji mbali mbali wa Wizara za Serikali aliowateuwa hivi karibuni kushika nyadhifa zao .

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuongeza Bajeti ya Wizara ya Afya kadri hali ya Uchumi itakavyoimarika, ili kuhakikisha inatoa huduma bora za Afya nchini kote.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuongeza Bajeti ya Wizara ya Afya kadri hali ya Uchumi itakavyoimarika, ili kuhakikisha…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema hatua ya Serikali ya kuongeza ujenzi wa madarasa katika skuli za Msingi na Sekondari nchini, utawawezesha wanafunzi kushiriki kikamilifu katika masomo ya Dini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema hatua ya Serikali ya kuongeza ujenzi wa madarasa katika skuli za Msingi na Sekondari nchini, utawawezesha…

Soma Zaidi