Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inakusudia kuangalia maeneo ya kuingiza vipato ambapo wafanyabiashara wa India watashirikiana na Zanzibar kuendeleza sekta hiyo kwa maslahi ya wananchi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inakusudia kuangalia maeneo ya kuingiza vipato ambapo wafanyabiashara wa India watashirikiana na…
Read More