Dk.Ali Mohamed Shein ametoa msamaha kwa wanafunzi kumi na mbili (12)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa msamaha kwa wanafunzi kumi na mbili (12) ambao bado walikuwa wakiendelea kutumikia vyuo vya Mafunzo vya Unguja…

Soma Zaidi

Dk.Shein:Atunuku Nishani watunukiwa 74.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewatunuku Nishani ya Mapinduzi na Nishani ya Utumishi uliotukuka watunukiwa 74.Hafla hiyo imefanyika leo katika…

Soma Zaidi

Ardhi yote ya Zanzibar ni mali ya Serikali

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa kwa mujibu wa sheria ya Zanzibar tangu baada ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964 ardhi yote ya Zanzibar…

Soma Zaidi

Dk.Shein afungua barabara ya Jendele-Cheju- Unguja Ukuu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inafanya juhudi katika kuhakikisha inatumia wataalamu wake wazalendo…

Soma Zaidi

Mapinduzi matukufu ya Januari 12,1964 ndiyo yaliyoleta ukombozi hapa Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Mapinduzi matukufu ya Januari 12,1964 ndiyo yaliyoleta ukombozi hapa Zanzibar na yeyote aliyekuwa hayataki…

Soma Zaidi

Dk.Shein: Sekta ya habari ni kichocheo kikubwa cha maisha ya Mwanaadamu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa sekta ya habari ni kichocheo kikubwa cha maisha ya mwanaadamu hivyo lazima habari ziandikwe kwa usahihi,…

Soma Zaidi

Dk.Shein ameagana na Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameagana na Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu ambaye ameeleza furaha yake…

Soma Zaidi

Serikali imejidhatiti kuzifikisha huduma za umeme katika maeneo yote wanayoishi wananchi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa Serikali imejidhatiti kuzifikisha huduma za umeme katika maeneo yote wanayoishi wananchi kwa kutambua…

Soma Zaidi