Uteuzi

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu Namba 61(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amefanya…

Soma Zaidi

Dk.Mwinyi ameihakikishia Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanziba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi ameihakikishia Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane…

Soma Zaidi

Dk.Mwinyi ameuhakikishia uongozi wa Aga Khan kuwa itaratibu sheria nzuri za kuwavutia wawekezaji.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi ameuhakikishia uongozi wa Taasisi ya Aga Khan kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane inaweka…

Soma Zaidi

Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar imeamua kufanya Mapinduzi ya kiuchumi

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane imeamua kufanya Mapinduzi ya kiuchumi kwa kuendeleza Uchumi wa Buluu na kuweka mkazo katika kuziimarisha sekta za huduma, ikiwemo sekta ya utalii,…

Soma Zaidi

DK. MWINYI AMEPONGEZWA NA UNICEF.

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linalowahudumia Watoto duniani (UNICEF) limempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kuchaguliwa kwa kishindo na wananchi…

Soma Zaidi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amemuapisha Naibu Katibu Mkuu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi leo amemuapisha Rashid Said Rashid kuwa Naibu Katibu Mkuu anaeshughulikia mifumo ya teknolojia ya habari…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Mwinyi amewakaribisha wawekezaji kutoka Jumuiya ya Madhehebu ya Bohora kuja kuekeza Z;bar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha wawekezaji kutoka Jumuiya ya Madhehebu ya Bohora kuja kuekeza Zanzibar kutokana na fursa…

Soma Zaidi