Uteuzi
Kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984,kinachosema kwamba "Muundo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar utakuwa na Umoja wa Kitaifa na utendaji wa kazi…
Soma ZaidiKwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984,kinachosema kwamba "Muundo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar utakuwa na Umoja wa Kitaifa na utendaji wa kazi…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi jana usiku alikuwa mgeni rasmi katika taarab maalum iliyoandaliwa na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja…
Soma ZaidiWAFANYABIASHARA na wadau mbali mbali kutoka sekta binafsi nchini wameiomba Serikali kuongeza ushirikiano na sekta hizo kwa msingi kuwa zina mchango mkubwa katika uimarishaji wa uchumi wa Zanzibar.Hayo…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaomba Waislamu kuendelea kumuunga mkono na kumuombea dua ili Mwenyezi Mungu amsaidie kwa yale yote ambayo…
Soma ZaidiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuhakikisha Vyama vya Michezo vinakuwa na utaratibu maalum…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameliahidi Shirika la Umoja wa Mataifa linalowahudumia Watoto duniani (UNICEF) kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…
Soma ZaidiKwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu Namba 61(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amefanya…
Soma Zaidi