Dk. Ali Mohamed Shein ametembelea eneo la Mpigaduri

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametembelea eneo la Mpigaduri linalotarajiwa kujengwa bandari mpya pamoja na eneo la Kinazini linalotarajiwa kujengwa…

Soma Zaidi

Uteuzi

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zanzibar Utilities Regulatory Authority – ZURA) Namba 7 ya 2013

Soma Zaidi

Serikali za Kuwait,India na Oman kuimarisha sekta za maendeleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa juhudi zinazochukuliwa na Serikali za Kuwait, India na Oman katika kuwaunga mkono ndugu zao wa Zanzibar…

Soma Zaidi

Dk.Shein awaandalia Chakula Vijana wa Halaiki na Vikosi vya Ulinzi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein aliungana pamoja na Vijana wa Chipukizi walioshiriki katika Sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Januari…

Soma Zaidi

Tutaendelea kuchukua hatua za kuimarisha Sekta ya Afya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa Zanzibar kama zilivyo nchi nyingine inatambua sekta za Afya na Elimu kuwa ndizo msingi wa maendeleo…

Soma Zaidi

DK Shein avipongeza Vikosi vya Ulinzi na Usalama.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amevishukuru Vikosi vya Ulinzi na Usalama vilivyoshiriki Gwaride la Kutimiza Miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar tarehe…

Soma Zaidi

Dk.Shein avipongeza Vikosi vya Ulinzi na Usalama

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amevishukuru Vikosi vya Ulinzi na Usalama vilivyoshiriki Gwaride la Kutimiza Miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar tarehe…

Soma Zaidi

China imeahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha miradi yake ya maendeleo.

Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China imeahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha miradi yake ya maendeleo sambamba na kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa muda mrefu ulioasisiwa…

Soma Zaidi