Dk.Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba utayari wa Uholanzi kuunga mkono mikakati pamoja na Sera ya uchumi wa Buluu kutasaidia kwa kiasi kikubwa kufikia malengo yaliyowekwa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba utayari wa Uholanzi kuunga mkono mikakati pamoja na Sera ya uchumi wa Buluu kutasaidia kwa kiasi kikubwa…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amewaapisha viongozi mbali mbali aliowateua hivi karibuni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amewaapisha viongozi mbali mbali aliowateua hivi karibuni wakiwemo Mawaziri, Manaibu Mawaziri pamoja na Makamishna.

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Zanzibar inathamini na kuhitaji sana mchango wa vyombo vya habari katika kufanikisha utekelezaji wa mipango yake mikuu ya maendeleo.

Zanzibar inathamini na kuhitaji sana mchango wa vyombo vya habari katika kufanikisha utekelezaji wa mipango yake mikuu ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa uchumi wa kisasa unaotilia mkazo matumizi…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba Zanzibar itaendeleza uhusiano na ushirikiano kati yake na Oman

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba Zanzibar itaendeleza uhusiano na ushirikiano kati yake na Oman na kuishauri nchi hiyo kuunga mkono…

Soma Zaidi