Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuhakikishia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo kuwa ataendelea kushirikiana nae katika kuhakikisha Ilani ya Uchaguzi ya CCM inatekelezwa ipasavyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuhakikishia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo kuwa ataendelea kushirikiana nae katika kuhakikisha…
Soma Zaidi