Dk.Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Serikali ya Ujerumani kwa utayari wake wa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Serikali ya Ujerumani kwa utayari wake wa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuendeleza miradi ya…

Soma Zaidi

RAIS wa Zanzibar na MBLM Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philp Esdori Mpango.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philp Esdori Mpango ambapo…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi wa Zanzibar kutumia vyema fursa ya kuwepo Skuli ya ‘Turkish Maarif Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi wa Zanzibar kutumia vyema fursa ya kuwepo Skuli ya ‘Turkish Maarif Zanzibar’ kwa kuwapeleka…

Soma Zaidi

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane ina dhamira ya dhati ya kupanua wigo wa matumizi endelevu ya bahari na rasilimali zake.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane ina dhamira ya dhati ya kupanua wigo wa matumizi endelevu…

Soma Zaidi