Habari

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameapishwa kuliongoza Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo ameapishwa kuliongoza Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar-es-Salaam na kuhudhuriwa na…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Mwinyi ametia saini kitabu cha maombolezi ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dk. John Joseph Pombe Magufuli

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametia saini kitabu cha maombolezi ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dk. John Joseph…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameikaribisha Jumuiya ya ‘Khoja Shia Ithna Ashir Jamaats of African

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameikaribisha Jumuiya ya ‘Khoja Shia Ithna Ashir Jamaats of African’ na kuitaka kuzitumia vyema fursa za uwekezaji…

Soma Zaidi