UZINDUZI WA BARAZA LA KUMI LA WAWAKILISHI LA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuijenga Zanzibar mpya kwa kupitia uchumi wa kisasa wa Buluu (Blue Economy).

Soma Zaidi

Dk.Hussein Ali Mwinyi ametoa shukurani na pongezi kwa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ametoa shukurani na pongezi kwa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), kwa kufanikisha vyema Uchaguzi Mkuu uliopita wa…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Mwinyi amemuapisha Mhe:Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Hafla hiyo ya kiapo…

Soma Zaidi

UTEUZI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Soma Zaidi

UTEUZI

Soma Zaidi

UTEUZI

Soma Zaidi

Dkt. Hussein Mwinyi amemuapisha Suleiman Ahmeid Saleh kuwa Katibu wa Rais wa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Suleiman Ahmeid Saleh kuwa Katibu wa Rais wa Zanzibar. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika leo Ikulu Jijiji…

Soma Zaidi

Alhaj Dkt.Mwinyi amesema uchaguzi umekwisha iliyobaki ni kuidumisha na kuilinda amani iliyopo nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa uchaguzi umekwisha na umemalizika kwa salama na kilichobaki hivi sasa ni kuendelea kuidumisha na…

Soma Zaidi