MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein amesema kuwa kuanzishwa kwa Sheria namba 10 ya mwaka 2017 ya Baraza la Taifa la Biashara la Zanzibar (ZNBC) kutaimarisha…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amezipongeza juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na Idara za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ya Jamhuri ya Muungano…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA MAKAMU MWENYEKITI WA BUNGE LA JAMUHURI YA WATU WA CHINA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha miradi ya…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi  wa kliniki ya Meno ambayo katika Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja,kliniki hiyo inaendeshwa kwa usimamizi

UZINDUZI WA KLINIKI YA MENO KIVUNGE KASKAZI UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ametangaza rasmi kuwa Hospitali ya Kivunge na Hospitali ya Makunduchi ambazo zote ni Hospitali za Koteji zifutwe na…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Sadala alipowasili katika  ufungaji wa kampeni za CCM za Uwakilishi jimbo la

UFUNGAJI WA KAMPENI ZA CCM ZA UWAKILISHI JIMBO LA JANG’OMBE

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kinachotakiwa siku ya Oktoba 27, 2018 katika uchaguzi mdogo wa Jimbo…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na ujumbe wa Mratibu wa Umoja wa Mataifa (UN) hapa Zanzibar Bibi.Dorothy Temu-Usiri  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.

DK.SHEIN AMEKUTANA NA MRATIBU WA UN ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amepongeza juhudi zinazochukuliwa na Umoja wa Mataifa (UN) katika kuendeleza miradi mbali mbali ya maendeleo na kueleza…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Mtawala wa Ras Al Khaimah Shaikh Saud bin Saqr  Al  Qasimi wakati   alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kabla ya kuondoka nchi akimaliza ziara yake akiwa na uj

MTAWALA WA RAS AL KHAIMAH AMEZUNGUMZA NA DK.SHEIN.

MTAWALA wa Ras al Khaimah Shaikh Saud Bin Saqr Al Qasimi amemuhakikishia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein kuwa serikali yake itatoa ushirikiano katika…

Soma Zaidi
Mkurugenzi mtendaji wa  Kampuni ya Rakgas L.L.C ya Ras Al Khaimah Bw.Kamal Mohamed Ataya(kulia) Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Makazi Mhe.Salama Aboud Talib (katikati) Mkurugenzi Katika Kampuni ya Maendeleo ya Mafuta Zanzibar (ZPDC)Nd,Mwanamkaa Abdulrahm

UTIAJI SAINI MKATABA WA MGAWANYO WA UZALISHAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA (PSA)

MALENGO ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni kuhakikisha kuwa faida zitakazopatikana kutokana na rasilimali ya mafuta na gesi asilia zinachangia katika ukuaji wa uchumi na zinawanufaisha wananchi…

Soma Zaidi