Media

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Al Nakhil ya Nchini Dubai.

DK.SHEIN AMEKUTANA NA MWENYEKITI WA KAMPUNI YA AL NAKHIL YA DUBAI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameikaribisha Kampuni ya Al Nakhil kutoka nchini Dubai kuitumia fursa ya kuja kuekeza hapa Zanzibar katika sekta ya…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata Keki Maalum ya miaka 50 ya Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC).

MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA KUANZISHWA KWA ZSTC.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka Wizara ya Biashara na Viwanda pamoja na uongozi wa Shirika la Biashara la Taifa (ZSTC), kufanya utafiti…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Ndg. Salum Kassim Ali.

RAIS WA ZANZIBAR AMEWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni kushika nyadhifa mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Read More
Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Washiriki wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania.

RAIS WA ZANZIBAR AMEZUNGUMZA NA UJUMBE WA WASHIRIKA WA MAENDELEO SEKTA YA KILIMO TANZANIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza dhamira ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuimarisha sekta ya kilimo na kuwapongeza Washirika wa…

Read More

DK.SHEIN AMEREJEA NCHINI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali ina azma ya kuandaa mikakati madhubuti ili kufanikisha dhamira ya kuwa na uchumi endelevu wa bahari…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta leo Mjini Nairobi, katika ukumbi wa Jengo la Mikutano ya Kenyatta Nairobi baada ya ufunguzi wa Mkutano wa

DK.SHEIN AMEKUTANA NA RAIS WA KENYA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi alisema kuwa Kenya na Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa jumla zina uhusiano wa kihistoria na kindugu ambao ni lazima uimarishwe…

Read More

DK.SHEIN AMEKUTANA NA KAIMU MKURUGENZI WA UN ENVIRONMENT

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linashughulikia masuala…

Read More

DK.SHEIN AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA SEYCHELLES

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Seychelles Mheshimiwa Danny Faure katika ukumbi wa Hoteli ya Intercontinental…

Read More