Dk.Shein akabidhi vifaa vya michezo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekabidhi vifaa vya michezo kwa timu za Jimbo la Uzini vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo Mhe. Mohammed Raza…

Soma Zaidi

kukosekana kwa mawakala wenye sifa ni sababu zinazowakosesha vijana kucheza katika ngazi ya Kimatai

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema pamoja na Zanzibar kuwa na vijana wengi wenye vipaji katika mchezo wa soka lakini kukosekana kwa mawakala wenye…

Soma Zaidi

Dk.Shein atembelea na kuangalia maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la abiria uwanja wa ndege.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amefanya ziara ya kutembelea na kuangalia maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la abiria katika uwanja wa ndege wa…

Soma Zaidi

Vijana nchini wametakiwa kumuenzi Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka vijana nchini kumuenzi Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume kwa kuiga na kutekeleza kwa vitendo…

Soma Zaidi

Dk Shein ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu mzee Abeid Amani Karume, iliyofanyika…

Soma Zaidi

Dk. Ali Mohamed Shein ametembelea eneo la Mpigaduri

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametembelea eneo la Mpigaduri linalotarajiwa kujengwa bandari mpya pamoja na eneo la Kinazini linalotarajiwa kujengwa…

Soma Zaidi

Uteuzi

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zanzibar Utilities Regulatory Authority – ZURA) Namba 7 ya 2013

Soma Zaidi

Serikali za Kuwait,India na Oman kuimarisha sekta za maendeleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa juhudi zinazochukuliwa na Serikali za Kuwait, India na Oman katika kuwaunga mkono ndugu zao wa Zanzibar…

Soma Zaidi