RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa shukurani zake za dhati kwa Jumuiya ya Zawiyyatul Qadiria - Tanzania

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa shukurani zake za dhati kwa Jumuiya ya Zawiyyatul Qadiria - Tanzania iliyomuombea dua Hayati Mzee…

Soma Zaidi

Rais wa zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi amevipongeza Vikosi vya JKU, Chuo cha Mafunzo na Zimamoto.

Kamanda Mkuu wa Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amevipongeza Vikosi vya Jeshi la Kujenga Uchumi(JKU),…

Soma Zaidi

Rais Dk Mwinyi amesema amejifunza mengi kutoka kwa hayati mzee mwinyi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ametaja baadhi ya mambo aliyojifunza kutoka kwa Hayati Mzee Mwinyi wakati wa uhai wake.

Soma Zaidi