Media

Msimamo wetu wa bei ni ule ule wa asilimia 80 ya bei ya soko la Nje kwa mkulima.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa Serikali itaendelea kutekeleza uamuzi wake wa kuwapatia wakulima bei ya karafuu ya asilimia 80 ya…

Read More

Azima yetu ni kuona wananchi wanaitumia fursa ya kujiimarisha kiuchumi kupitia ufugaji wa Samaki

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ili kuhakikisha azma yake ya kuimarisha ufugaji wa samaki nchini inatekelezwa kikamilifu itaendelea kutoa mafunzo na huduma mbalimbali kwa wananchi ili…

Read More

Tutalipa fidia lakini muwe na subira

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewahakikishia wananchi walioathirika na ujenzi wa barabara ya Wete-Gando na Gando-Ukunjwi kuwa watalipwa fidia lakini…

Read More

DK. Shein akutana na Mwanamfalme wa Japan.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema visiwa vya Zanzibar vimeendelea kuvutia wageni wengi kutokana na utajiri mkubwa wa historia yake na uthiri…

Read More

Rais wa Zanzibar arejea nchini kutoka Uingereza

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amerejea nchini kutoka Uingereza ambako alikuwa na ziara maalum ya wiki mbili.

Read More

DK. Shein aenda Uingereza.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameondoka nchini kwenda Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili.

Read More

Tutaendelea na jitihada za kujenga mazingira yatakayoihakikishia Zanzibar amani na utulivu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyo chini ya Mfumo wa Umoja wa Kitaifa itaendelea na jitihada…

Read More