Habari

Wananchi waimarishe amani na utulivu nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein ameonya kuwa Serikali haitawavumilia wale wote wanaofanya vitendo vya uvunjifu wa amani nchini na kuahidi kuwa…

Soma Zaidi

Kuimarika kwa uzalishaji wa zao la karafuu kisiwani Pemba kunaongeza mahitaji ya huduma za Kibenki

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuimarika kwa uzalishaji wa zao la karafuu kisiwani Pemba kunaongeza mahitaji ya huduma za kibenki katika kisiwa…

Soma Zaidi

Uwekezaji toka Italia umeinua sekta ya Uchumi Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na makampuni kutoka Italia katika sekta ya Utalii nchini ni moja ya matunda ya…

Soma Zaidi

Dk.Shein,ameungana na viongozi mbali mbali katika mazishi ya wanajeshi wa Zanzibar waliouwawa Darfur

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameungana na viongozi mbali mbali wakiwemo wa Vikosi vya Ulizi na Usalama wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Shein,ameungana na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika futari maalum

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein ameungana na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika futari maalum aliyowaandalia huko Ikulu ndogo ya Chake.…

Soma Zaidi

Wananchi wametakiwa kushirikiana na Serikali katika kuvikomesha vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa wananchi kushirikiana na Serikali katika kuvikomesha vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia na mmongonyoko…

Soma Zaidi

Dk.Shein ameelezea kusikitishwa na vifo vya Maaskari wa JWTZ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,pamoja na wananchi wa Zanzibar wamepata mshtuko na huzuni kubwa kwa vifo vya wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi wa Watanzania…

Soma Zaidi

Dk Shein ameipongeza UNICEF kwa juhudi zake za kuendelea kuiunga mkono Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amelipongeza Shirika la Umoja wa Mataifa linalowahudumia Watoto (UNICEF), kwa juhudi zake za kuendelea kuiunga mkono…

Soma Zaidi