Dk.Shein akutana na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais
OFISI ya Makamu wa Pili wa Rais imeeleza kuwa Dira yake kubwa ni kuwa na Serikali yenye kutoa huduma bora kwa jamii na yenye muhimili mzuri wa uchumi, umoja na maendeleo endelevu
Soma Zaidi