Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema sekta ya uwekezaji ni muhimu katika ustawi wa uchumi wa Zanzibar. Dk. Mwinyi aliyasema hayo, Ikulu, Zanzibar alipozungumza na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema sekta ya uwekezaji ni muhimu katika ustawi wa uchumi wa Zanzibar. Dk. Mwinyi aliyasema hayo, Ikulu, Zanzibar…
Soma Zaidi