Mama Mariam Mwinyi amewahimiza Wanawake CCM, kupigania nafasi za maamuzi kwenye uongozi ili kuendelea kuwainua wanawake wasio na sauti.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama Mariam Mwinyi amewahimiza Wanawake CCM, kupigania nafasi za maamuzi kwenye uongozi ili kuendelea kuwainua wanawake wasio na…
Soma Zaidi