Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amemuapisha Ali Khamis Juma kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Biashara , Viwanda na Masoko
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amemuapisha Ali Khamis Juma kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Biashara , Viwanda na Masoko katika hafla iliofanyika Ikulu…
Soma Zaidi