Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wanachama wa Chama cha Mapinduzi kuchagua Viongozi madhubuti wenye uwezo wa kukivusha chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao wa 2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wanachama wa Chama cha Mapinduzi kuchagua Viongozi madhubuti wenye…
Soma Zaidi