Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza utayari wa Kampuni ya JHIL Enterprises kutoka India wa kujenga kituo cha Kimataifa cha michezo hapa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ampongeza utayari wa Kampuni ya JHIL Enterprises kutoka India wa kujenga kituo cha Kimataifa cha michezo hapa Zanzibar.
Soma Zaidi