News and Events

Dk.Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuipatia vyenzo zote zinazohitajika Skuli ya Sekondari Mtule ili wanafunzi waweze kupata elimu bora.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuipatia vyenzo zote zinazohitajika Skuli ya Sekondari Mtule ili wanafunzi…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba Serikali imeamua kuwajengea mazingira bora wajasiriamali ili waondokane na kuuza bidhaa zao pembezoni mwa barabara.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba Serikali imeamua kuwajengea mazingira bora wajasiriamali ili waondokane na kuuza bidhaa zao pembezoni…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Wilaya na Mkoa Kaskazini Unguja kushirikiana na wananchi kupatiwa zana,vifaa elimu ili kufanikisha uchumi wa Buluu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Wilaya na Mkoa Kaskazini Unguja kushirikiana na kiuhakikisha wananchi wa Mkoa huo wanasaidiwa…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza Mfuko wa Mawasiliano kwa wote kwa kuwekeza zaidi ya Shilingi Bilioni 6.9 kwa ajili ya ujenzi wa Minara ya Mawasiliano

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza Mfuko wa Mawasiliano kwa wote kwa kuwekeza zaidi ya Shilingi Bilioni 6.9 kwa ajili ya ujenzi wa Minara…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaahidi wananchi wa kisiwa cha Tumbatu kwamba serikali itajenga hospitali yenye hadhi ya hospitali ya Wilaya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaahidi wananchi wa kisiwa cha Tumbatu kwamba serikali itajenga hospitali yenye hadhi ya hospitali ya Wilaya katika…

Soma Zaidi