News and Events

Dk. Hussein Mwinyi amewataka watendaji wa Wizara za Serikali kufanya kazi kwa bidii, mashirikiano na kuaminiana ili kuwatumikia Wazanzibari ipasavyo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi amewataka watendaji wa Wizara za Serikali kufanya kazi kwa bidii, mashirikiano na kuaminiana ili kuwatumikia Wazanzibari…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amerejea nchini akitokea Burundi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amerejea nchini leo akitokea Burundi ambapo alihudhuria sherehe za miaka 60 ya Uhuru wa nchi hiyo.

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini leo kuelekea nchini Burundi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini leo kuelekea Burundi kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za miaka 60 ya nchi hiyo zinazotarajiwa kufanyika…

Soma Zaidi