News and Events

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwepo kwa wataalamu wa sheria wenye ujuzi ni muhimu katika kuleta mageuzi ya kiuchumi na kijamii nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwepo kwa wataalamu wa sheria wenye ujuzi ni muhimu katika kuleta mageuzi ya kiuchumi na kijamii nchini.Dk.…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa pongezi kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana katika vikao vya Muungano ikiwa ni pamoja na kutatuliwa mambo kadhaa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa pongezi kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana katika vikao vya Muungano ikiwa ni pamoja na kutatuliwa mambo…

Read More

Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na wanafamilia, wananchi pamoja na viongozi mbali mbali katika sala na dua ya kumuombea marehemu Mzee Machano Mwadini Omar,Sheha wa Shehia ya Kwahani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na wanafamilia, wananchi pamoja na viongozi mbali mbali katika sala na dua ya kumuombea marehemu…

Read More