Dk.Shein amezungumza na Wasanii mbali mbali Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Vijana, Utamaduni,Sanaa na Michezo Nd,Lulu Msham Abdalla mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wasaniii wa kikundi cha sanaa waliomkaribisha leo kwa ngoma ya kibati mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar, (katikati) Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na salimiana na Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume (kulia) na Naibu Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nd,Lulu Msham Abdalla mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar
Baadhi ya Wasanii na Viongozi mbali mbali walioalikwa katika mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) uliofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Wasanii wakongwe wakisimama wakati wa kutambulishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa Mkutano na Wasanii wa Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Baadhi ya Wasanii na Viongozi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizunmza na wasanii hao katika mkutano maalum uliofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na wasanii mbali mbali wa Zanzibar katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar, (kushoto) Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume,na Msauri wa Rais mambo ya Utamaduni na Michezo Bw.Chimbeni Kheir Chimbeni (katikati)
Rais wa Zanzibar amezungumza na Uongozi wa Taasisi ya Mwanaharakati Siti Bint Saad.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Bint. Saad, Bi. Nasra Mohammed Hilal, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na kumkabidhi Kadi ya Uanachama No.1 na Picha ya Siti Bint Saad, hafla hiyo imefanyika 10-3-2020, katika ukumbi wa Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa picha ya Siti Binti Saad, ikimoonesha Bi.Siti Bint Saad na Bwa. Ali Muhsin, aliyemuibua katika fani ya uimbaji akikabidhi Katibu wa Taasisi hiyo Dkt. Mohammed Omar na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Bint Saad.Bi.Nasra Mohammed Hilal, hafla hiyo imefanyika 10-3-2020, Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bi. Siti Bint Saad. Bi. Nasra Mohammed Hilal, alipofika kwa mazungumzo Ikulu Jijini Zanzibar 10-3-2020
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Ujumbe wa Uongozi wa Taasisi ya Siti Bint Saad wakiwa nje ya ukumbi wakibadilishana mwazo baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 10-3-2020
Dk.Shein amezungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe,Simbachawene.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.Mhe. Goerg Simbachawene, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha na kufanya mazunguzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Goerg Simbachawene, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha na kufanya mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe:Goerg Simbachawene, alipofiki Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha na kufanya mazungumzo yaliofanyika
Dk.Shein amefungua mkutano wa Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akielekea katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali, Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja. Bi, Marine Joe Thomas.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia Ngoma aina ya Kibati wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idriusa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Kumi wa Jukwaa la Jukwaa la Biashara Zanzibar,(kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar. Mhe. Balozi Amina Salim Ali na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Bi. Marine Joe Thomas
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati akilifungua Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na kuwashirikisha Wadau wa Sekta Binafsi na za Umma na Wafanyabiashara Zanzibar
KATIBU Mkuu Kingozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi. Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la kumi (10) la Biashara Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar. Mhe. Balozi Amina Salum Ali akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa kumi wa Jukwaa la Biashara Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh. Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati akilifungua Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na kuwashirikisha Wadau wa Sekta Binafsi na za Umma na Wafanyabiashara Zanzibar
BAADHI ya Mawaziri wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Abdalla Ulega. wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Jukwaa la kumi la Biashara Zanzibar,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani )
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Florens Luoga na kushoto Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa Ndani.(BOT) Ndg.Julian Raphael Banzi na Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh, wakifuatilia ufunguzi wa mkutano wa Jukwaa la kumi la Biashara Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akihutubia na kufungua jukwaa hilo, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
MUWASILISHAJI Mada kutoka Tume ya Mipango Zanzibar. Ndg.Salim Saad, akiwasilisha Mada kuhusia na Uchumi wa Bluu (Blue Economy) wakati wa mkutano wa Kumi wa Jukwaa la Biashara Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
BAADHI Wajumbe wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar wakifuatilia ufunguzi wa Mkutano wa Kumi wa Jukwaa la Biashara Zanzibar,lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe.Dk. Ali Ali Mohamed Shein.
KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar. Ndg. Bakari Ali Bakari akiwasilisha Taarifa ya Braza wakati wa Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar,lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
MKURUGENZI Mtendaji wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC) Ndg. Hamad Omar Hamad, akiwasilisha taarifa ya Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar, wakati wa mkutano wa Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC) Ndg.Toufiq Salim Turky, akiwasilisha taarifa ya Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar wakati wa ufunguzi wac Jukwaa la Kumi la Bishara Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
WAJUMBE wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la kumi la Biashara Zanzibar,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu. Akizungumza wakati wa mkutano wa kumi wa Jukwaa la Biashara Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
BAADHI yac Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Jukwaa la kumi la Biashara Zanzibar,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdullwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
BAADHI wa Wajumbe wa Mkutano wa Jukwaa la Kumi (10) la Biashara Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Julkwaa la 10 la Biashara Zanzibar,lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati akilifungua Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
Dk Shein amekutana na Wajumbe wa Baraza la Biashara Zanzibar Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua kikao cha Baraza la Biashara Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi .Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biahara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salkum Ali na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua kikao cha Baraza la Biashara Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi .Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biahara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salkum Ali na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa.
KATIBU Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Juma Hassan Reli na Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar. Mhe. Hassan Khamis Hafidh wakiwa na baadhi ya Wakuu wa Wizara za SMZ wakifuatilia mkutano huo wa Baraza la Biashara Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibaer
WAJUMBE wa Baraza la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
BAADHI ya Wakuu wa Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatila kikao cha mkutano wa Baraza la Biashara Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Viongozi wa Serikali wa kwanza Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Said Hassan Said, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed na Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Mhe. Juma Ali Khatib, wakifuatila taarifa katika makabrasha yao wakati ikiwasilishwa katika mkutano wa Baraza la Biashara Zanzibar na Katibu Mtendaji Baraza la Biashara Zanzibar Ndg. Bakari Ali Bakari
KATIBU Mtendaji wa Baraza la Biashara Zanzibar Ndh Bakari Ali Bakari akiwasilisha taarifa wakati wa kikao cha mkutano wa Baraza la Biashara Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,na kuongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani ) kulia Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee
NAIBU Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania Ndg.Mcha Hassan akizungumza wakati wa Kikao cha mkutano wa Baraza la Biashara Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
MJUMBE wa Baraza la Biashara Zanzibar Bi. Naila Jidawi akizungumza wakati wa mkutano wa Kikao cha Baraza la Biashara Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
WAZIRI wa Kilimo Maliasi Mifugo na Uvuvi Zanzibar. Mhe Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza wakati wa mkutano wa kikao cha Baraza la Biashara Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
KAMISHNA Idara ya Ukuzaji Uchumi na Mashirikiano baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Zanzibar (PPP) Wizara ya Fedha na Mipango Dr.Rahma Salim Mahfoudh, akiwasilisha Mada kuhusiana na fursa za Sekta za Umma na Binafsi, wakati wa mkutano wa Baraza la Biashara Zanzibar uliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.