Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amelizindua baraza la Wawakilishi leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipokea salamu ya Heshima kutoka kwa Jeshi la Polisi wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi katika viwanja vya chukwani mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha ya pamoja baina ya Mheshimiwa Jaji mkuu wa Zanzibar Mheshimiwa Ramadhan Abdalla Shaaban pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Zubeir Ali Maulid katika viwanja vya Baraza hilo leo tarehe 10 Octoba, 2025
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akilihutubia Baraza la Wawakilishi leo tarehe 10 Octoba, 2025 katika Ukumbi wa baraza hilo Chukwani Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Mama Mariyam Mwinyi akiwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kushiriki katika uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi baada ya kufanyika Uchaguzi wa Octoba 2025 na kupelekea kuundwa kwa Baraza jipya la Uwakilishi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akilihutubia Baraza jipya la Uwakilishi kufuatia kufanyika kwa uchaguzi mpya wa Octoba 2025 na kupatikaniwa kwa wajumbe wapya wa Baraza hilo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikagua Gwaride lililoandaliwa na Jeshi la Polisi Zanzibar kabla ya kulizindua Baraza jipya la Wawakishi leo Chukwani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akilihutubia Baraza jipya la Uwakilishi kufuatia kufanyika kwa uchaguzi mpya wa Octoba 2025 na kupatikaniwa kwa wajumbe wapya wa Baraza hilo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi katika viwanja wa Baraza hilo hapo chukwani Zanzibar wakati Mheshimiwa rais alipokwenda kulizindua Baraza hilo leo tarehe 10 Octoba, 2025.