Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki katika Ibada ya Sala ya Ijumaa Fuoni Chunga.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua baada ya kumalizika kwa sala ya Ijumaa iliyosaliwa katika Msikiti wa Al Abrar, baada ya kujumuika na Waumini wa Kiisilam sala hiyo ilisaliwa Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar akitoa mawaidha baada ya kukamilika kwa sala ya Ijumaa iliyosaliwa katika Msikiti wa Al Abrar,uliopo Fuoni Chunga Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi alihudhuria.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wa serikali pamoja na wa dini wakiomba dua baada ya kumalizika kwa sala ya Ijumaa iliyosaliwa katika Msikiti wa Al Abrar, ulio[po Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Kijiji cha Fuoni Chunga baada ya kujumuika na waumini wa Dini ya Kiisilam katika Sala ya Ijumaa iliyosaliwa Msikiti wa Al Abrar, Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali pamoja na wa Dini ya kiislam baada ya kuwasili katika Msikiti wa Al Abrar, ulio[po Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kwa ajili ya Sala ya Ijumaa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akitoa salamu zake baada ya kumalizika kwa Ibada ya sala ya ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Al Abrar, ulio[po Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Fuoni Chunga baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyosaliwa katika Msikiti wa Al Abrar, uliopo Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Kijiji cha Fuoni Chunga baada ya kujumuika na waumini wa Dini ya Kiisilam katika Sala ya Ijumaa iliyosaliwa Msikiti wa Al Abrar, Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waumini wa dini ya Kiisilam baada ya kumalizika kwa Ibada ya sala ya Ijumaa ambapo Mheshimiwa Rais alisali katika Msikiti wa Al Abrar, uliopo Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja