Dk.Hussein Ali Mwinyi ametoa shukurani na pongezi kwa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Fadhil Omar Nondo (aliyesimama) alipokuwa akitoa neno la kumshukuru mbele ya Rais mara baada ya Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kupongezwa kwa kufanikisha kusimamia vyema kwa Zoezi la Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa kufanikisha kusimamia vyema kwa Zoezi la Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid baada ya mazungumzo na kuishukuru na kuipongeza Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa kufanikisha vyema Uchaguzi Mkuu uliopita
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) alipokutana nao leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa kazi ya kufanikisha vyema Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza na Viongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) alipokutana nao leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa kazi ya kufanikisha vyema Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amemuapisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe Hemed Suleiman Abdalla, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9/11/2020, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimpongeza na kumkabidhi Hati yake ya Kiapo baada ya kumuapisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9/11/2020, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi.Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ya pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, baada ya kumalizika kwa hafla ya kumuapisha iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe Hemed Suleiman Abdalla, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9/11/2020, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini Hati ya Kiapo ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
Dk. Shein ameongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaaf wa Awamu ya Saba Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Rais Mstaaf wa Awamu ya Saba Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar Mhe. Ali Mohamed Shein, akifungua kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, na (kulia ) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla.
WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, wakati wa ufunguzi wa Kikao hicho kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akifungua kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi wakiwa katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika
WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, wakati wa ufunguzi wa Kikao hicho kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akifungua kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
Dk.Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Katibu wa Rais Bw. Suleiman Ahmed Saleh Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini Hati ya Kiapo ya Katibu wa Rais Bw. Suleiman Ahmed Saleh baada ya kumuapisha 7/11/2020, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Katibu wa Rais Bw. Suleiman Ahmed Saleh, baada ya kumuapisha katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitambulishwa familia ya Katibu wa Rais Bw. Suleiman Ahmed Saleh (kushoto kwa Rais) baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa iliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Katibu wa Rais Bw. Suleiman Ahmed Saleh na kumkabidhi hati yake ya Kiapo baada ya kumuapisha katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
NDUGU na Familia ya Katibu wa Rais Bw. Suleiman Ahmed Saleh wakihudhuria kuapishwa kwake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Katibu wa Rais Bw.Ndg.Suleiman Ahmed Saleh, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7/11/2020, na (kushoto kwa Rais ) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi.Dkt.Abdulhamid Yanya Mzee
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Katibu wa Rais Bw.Ndg.Suleiman Ahmed Saleh, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7/11/2020, na (kushoto kwa Rais ) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi.Dkt.Abdulhamid Yanya Mzee
MWANASHERIA Mkuu wa Zanzibar Mhe.Dk.Mwinyi Talib Haji, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Maulid na Naiubu Katibu Mkuu Ndg Salum Kassim Ali, wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Katibu wa Rais Bw.Suleiman Ahmed Saleh, iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi awaasa wananchi kudumisha Amani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Masjid Nunge Dodoma Sheikh.Haji Ismai Abdalla baada ya kumaliza Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Jijini Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam Jijini Dodoma baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Dodoma leo 6-11-2020, na kuwanasihi kuendeleza Amani Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam Jijini Dodoma baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Dodoma leo 6-11-2020, na kuwanasihi kuendeleza Amani Nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa Sheikh Abdi Mussa, baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika leo 6/11/2020 katika Masjid Nunge Jijini Dodoma na (kulia kwa Rais) Sheikh. Mohammed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe Adam Malima, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Jijini Dodma