Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amelihutubia Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika paredi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, baada ya kulihutubia na kulivunja Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar,uliyofanyika leo 23-6-2025 katika ukumbi wa Baraza Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume baada ya kulihutubia na kulivunja Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika leo 23-6-2025, katika ukumbi wa Baraza Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikagua gwaride rasmini la Kikosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya uvunjaji wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar, lililofanyika katika viwanja vya Baraza Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 23-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima, wakati wa gwaride rasmin la Kikosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya uvunjaji wa Baraza la kumi la Wawakilishi Zanzibar,lililofanyika leo 23-6-2025, katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
GWARIDE Maalumu la Kikkosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya uvunjaji wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar, gwaride hilo lililofanyika katika viwanja vya Baraza Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Jijini Zanzibar leo 23-6-2025,wakitowa salamu ya heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi wakati Mheshimiwa rais alipokwenda kulihutubia Baraza la Wawakilishi leo tarehe 23 Juni, 2025