State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amelihutubia Baraza la Eid Al-Adha katika Ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Suza Tunguu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu kwa ajili ya kulihutubia Baraza la Eid Al-Adha lililofanyika katika ukumbi huo, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Alhajj Dkt.Haroun Ali Suleiman
  • GWARIDE Maalumu la Kikosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya Baraza la Eid Al-Adha wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, lililofanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tungui Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
  • MABALOZI Wadogo wanaofanyia kazi zao Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Al-Adha,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Eid, lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali, baada ya kumalizika kulihutubia Baraza la Eid Al-Adha,lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
  • WANANCHI wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Al-Adha, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid lililofanyika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid Al-Adha lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu leo 7-6-2025, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Mkoa wa Kusini Unguja
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Al-Adha, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia Baraza la Eid lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid Al-Adha lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu leo 7-6-2025, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid Al-Adha lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu leo 7-6-2025, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid Al-Adha lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu leo 7-6-2025, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima kutoka kwa Kikao cha FFU, wakati wa Gwaride maalumu lililoandaliwa kwa ajili ya Baraza la Eid Al-Adha, lililofanyika katika viwanja vya ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
  • WANANCHI wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Al-Adha, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid lililofanyika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi ameshiriki Sala ya Eid Al-Adha Masjid Taqwaa Bambi Mkoa wa Kusini Unguja.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akibadilishama mawazo na Viongozi wa Serikali,baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha, iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja, leo 7-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijuika na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kuitikia dua ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani) na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya Kati.Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025

  • WAUMINI wa Dini ya Kiislamu Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Al-Adha ikisomwa na Sheikh Abdulrahaman Ahmed Abdallah, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Eid Al-Adha, iliyofanyika leo 7-6-2025 katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya Sala ya Eid Al-Adha, iliyofanyika katika masjid hiyo leo 7-6-2025, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Alhajj Dkt.Haroun Ali Suleiman
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Dini ya Kiislamu akifuatilia Hutuba ya Sala ya Eid Al-Adha, ikisomwa na Sheikh Abdurahaman Ahmed Abdallah, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid, iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja iliyofanyika leo 7-6-2025