Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amelihutubia Baraza la Eid Al-Adha katika Ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Suza Tunguu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu kwa ajili ya kulihutubia Baraza la Eid Al-Adha lililofanyika katika ukumbi huo, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Alhajj Dkt.Haroun Ali Suleiman
GWARIDE Maalumu la Kikosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya Baraza la Eid Al-Adha wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, lililofanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tungui Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
MABALOZI Wadogo wanaofanyia kazi zao Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Al-Adha,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Eid, lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali, baada ya kumalizika kulihutubia Baraza la Eid Al-Adha,lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
WANANCHI wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Al-Adha, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid lililofanyika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid Al-Adha lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu leo 7-6-2025, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Mkoa wa Kusini Unguja
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Al-Adha, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia Baraza la Eid lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid Al-Adha lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu leo 7-6-2025, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid Al-Adha lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu leo 7-6-2025, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid Al-Adha lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu leo 7-6-2025, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima kutoka kwa Kikao cha FFU, wakati wa Gwaride maalumu lililoandaliwa kwa ajili ya Baraza la Eid Al-Adha, lililofanyika katika viwanja vya ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025