Ikulu Blog

Rais Dk.Mwinyi amewaapisha Viongozi aliowateuwa hivi karibuni.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Zawadi Amour Nassor kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini .kabla ya uteuzi alikuwa mwakilishi wa Jimbo la Konde Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • Viongozi mbali mbali wa Serrikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Mawaziri wapya walioapishwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia na kutoa maagizo kwa wateule hao leo baada ya hafla kiapo iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Salha Mohamed Mwinjuma kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi,Maendeleo ya Makaazi .kabla ya uteuzi alikuwa mwakilishi wa Viti maalum Kundi la Vijana Kusini,Unguja,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Juma Makungu Juma kuwa Naibu Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango.kabla ya uteuzi alikuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi,Maendeleo ya Makaazi,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Shaabani Ali Othman kuwa Waziri wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi .kabla ya uteuzi alikuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Baadhi ya Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama waliwa katika hafla ya kiapo kwa Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kushika nyazifa mbali mbali, katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Mudrika Ramadhan Soraga kuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale,kabla uteuzi alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Kazi,Uchumi na Uwekezaji,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Ali Suleiman Ameir (Mrembo) kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu,kabla ya Uteuzi alikuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango,hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Baadhi ya Viongozi wa Dini na Mawaziri na Maafisa katika Taasisi za Serikali wakiwa katika hafla ya kiapo kwa Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kushika nyazifa mbali mbali, katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika hafla ya kiapo kwa Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kushika nyazifa mbali mbali, katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Baadhi ya wanafamilia wa Viongozi walioapishwa wakiwa katika hafla ya kiapo kwa Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kushika nyazifa mbali mbali, katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Zawadi Amour Nassor kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini .kabla ya uteuzi alikuwa mwakilishi wa Jimbo la Konde Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Viongozi mbali mbali wa Serrikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Mawaziri wapya walioapishwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia na kutoa maagizo kwa wateule hao leo baada ya hafla kiapo iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake katika hafla ya kiapo kwa Viongozi aliowateuwa hivi karibuni,ambapo hafla ya kiapo imefanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali katika Taasisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia saini Sheria ya Mahkama ya Kadhi,ambapo alitia saini Sheria mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ikiwemo Sheria ya kuweka Masharti ya mtoaji wa Leseni,Sheria Mpya ya Uwekezaji Zanzibar,Sheria ya Mkaguzi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia saini Sheria ya Mkaguzi wa Umma ,ambapo alitia saini pia Sheria mbali mbali za Srikali ya Mapinduzi Zanzibar,ikiwemo Sheria ya kuweka Masharti ya mtoaji wa Leseni,Sheria Mpya ya Uwekezaji Zanzibar, Sheria ya Mahkama ya Kadhi, katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi waliohudhuria katika hafla ya Utiaji wa saini Sheria mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mara baada ya utiaji wa Sheria hizo katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, ikiwemo Sheria ya kuweka Masharti ya Mtoaji wa Leseni,Sheria Mpya ya Uwekezaji Zanzibar, Sheria ya Mahkama ya Kadhi na Sheria ya Mkaguzi wa Umma
  • Viongozi waliohudhuria katika hafla ya Utiaji wa saini Sheria mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar saini iliyotiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar

Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)

  • Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi amekutana na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchin.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi akizungumza na na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini katika ofisi za ZMBF Ikulu Migombani tarehe: 30 Januari 2024.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, alipofika Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, alipofika Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, alipofika Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, alipofika Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini.
  • Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, akizungumza na Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi alipofika katika ofisi yake kwa lengo la kumuaga .

Rais wa Zanzibar na MBLM DK.Mwinyi ameagana na Balozi mdogo wa china.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar,Alipofika Ikulu kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na afisa wa Ubalozi mdogo wa China ambapo Mheshimiwa Rais amekutana na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi Tanzania.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
  • Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, akizungumza na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipofika Ikulu akimuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa Mheshimiwa Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa alozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng pamoja na ujumbe wake alipofika Ikulu Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussei Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Balozi Mdogo wa China hapa Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, baada ya mazungumzo yao alipofika kuaga Ikulu Jijini Zanzibar akimaliza muda wake wa kazi.

Mahafali ya 23 katika Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Chukwani Zanzibar

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbali mbali wengine alipowasili katika mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili, Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume (wa nne kulia) pamoja na Viongozi wengine alipowasili katika mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokea Zawadi maalum kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume, katika sherehe za mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume (katikati) wakifuatana pamoja na Viongozi wengine wakielekea katika viwanja vya sherehe za mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi Zawadi Mwanafunzi bora wa Sheriah na Sheria za Kiislamu Ndg, Mohamed Ali Hassan katika sherehe za mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi (kushoto) Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi Zawadi Mwanafunzi bora wa Shahada ya Sanaa na Elimu katika kiingerezaa na Kiswahili Ndg,Juwaira Ali Omar, katika sherehe za mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi (kushoto) Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume
  • Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume (kulia) alipokuwa akimkaribisha mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) kuzungumza na hadhara katika sherehe za mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili, Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Baadhi ya wanafunzi wa fani mbali mbani katika Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar wakiwa katika sherehe za mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili ,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akizungumza katika sherehe za mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Wahadhiri katika Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar wakiwa katika sherehe za mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili ,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi

Taarab Rasmi na Chakula Ikulu.

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Ranzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi baada ya kumaliza kwa hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiagana na Makamo wa Rais wa Burundi Mhe.Prosper Bozombaza wakati wa kumalizika kwa Hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Kikunchi cha Taarab cha Taifa cha Muzicul Club wakitumbiiza Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifuatana na Viongozi wengine wakienda kutunza wakati Vikundi vya Taarab vilipotumbiza jana Ikulu katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Baadhi ya Viongozi na waalikwa mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla (wa pili kushoto) Makamo Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe.Abdulrahman Kinana (kushoto) Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Doto Biteko na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman wakiwa katika hafla ya Taarab rasmi na chakula cha Usiku katika viwanja vya Ikulu jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Baadhi ya Viongozi na waalikwa mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Rais wa Ranzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa mgeni wa heshma katika Hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan na Makamo wa Rais wa Burundi Mhe.Prosper Bozombaza.