Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amefungua nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili na kuelekea katika majengo ya Wafanyakazi pamoja na Madaktari wa Hospitali ya Kitogani kwa ajili ya Uzinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.leo tarehe 31 Disemba 2025.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja.
Wananchi pamoja na Wafanyakazi wa Kada ya Afya wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa nyuma za Madaktari katika Hospitali ya Kitogani mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akipata maelezo ya Kitaalamu kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dr. Mngereza Miraji Mzee wakati alipokagua ndani ya nyumba hizo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akibonyesha kitufe kuashiria ufunguzi wa nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja
Muonekano wa Nyuma za makaazi kwa Madaktari wa Hospitali ya Kitogani Zanzibar.
Madaktari wa Hospitali ya Kitogani wakiwa katika Sherehe ya Uzinduzi wa nyumba za madaktari katika Hospitalini ya Kitogani Mkoa wa KUsini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza leo tarehe 31 Disemba 2025 alipofungua nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akitembea baada ya kuzikagua nyumba za Wafanyakazi pamoja na Madaktari wa Hospitali ya Kitogani baada ya kuzifungua nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza leo tarehe 31 Disemba 2025 alipofungua nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akibonyeza Kitufe kama ishara ya ufunguzi wa nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja._770_513shar-50brig-20.jpeg)
Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi vya SMZ na SMT wakiwa katika ufunguzi wa Nyumba za Madaktari pamoja na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya katika hospitali ya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameuzindua rasmi Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akifuatana na Mkewe mama Mariyam Mwinye walipowasili katika uzinduzi wa mradi wa Nyumba za Makaazi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, pamoja na mama Mariyam Mwinyi wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa nyumba za makaazi katika Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimlisha keki Mkewe mama Mariyam Mwinyi baada ya kupokea zawadi ya keki kutoka kwa Waziri wa Fedha ikiwa ni ishara ya siku yake ya kuzaliwa wakati alipokwenda kuuzindua mradi wa Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akilisha keki na Mkewe mama Mariyam Mwinyi baada ya kupokea zawadi ya keki kutoka kwa Waziri wa Fedha ikiwa ni ishara ya siku yake ya kuzaliwa wakati alipokwenda kuuzindua mradi wa Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiondoa kipazia kuashiria uzinduzi wa Mradi wa ujenzi wa nyumba za makaazi kwa wananchi katika Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili katika eneo la uzinduzi wa mradi wa Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiondoa kipazia kuashiria uzinduzi wa Mradi wa ujenzi wa nyumba za makaazi kwa wananchi katika Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, pamoja na mkewe mama Mariyam Mwinyi wakiitikia duwa iliyosomwa na Shekhe kutoka Ofisi ya Mufti wa Zanzibar katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipokea zawadi ya keki kutoka kwa Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikiwa ni ishara ya siku yake ya kuzaliwa wakati alipokwenda kuuzindua Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiondoa kipazia kuashiria uzinduzi wa Mradi wa ujenzi wa nyumba za makaazi kwa wananchi katika Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi fungua za nyumba aliyonunua pamoja na cheti Bi Asia Mwadini wakati akizindua Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia wananchi wakati wa uzinduzi wa Mradi wa ujenzi wa nyumba za makaazi kwa wananchi katika Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasikiliza watoto wanaomuimbi wimbo wa siku yake ya kuzaliwa wakati wa ufunguzi wa nyumba Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi fungua za nyumba aliyonunua pamoja na cheti Bi Suwaiba Nassor wakati akizindua Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi fungua za nyumba aliyonunua pamoja na cheti Bi Asia Mwadini wakati akizindua Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Mariyam Mwinyi akisalimiana na msoma Utenzi Yussira wakati wa uzindua wa Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja