Habari

Rais Dkt. Mwinyi amefutarisha Wananchi wa mkoa wa Kusini Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na waumini wa dini ya Kiislamu na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika futari ya pamoja aliyowaandalia.…

Soma Zaidi

Dkt. Mwinyi amesema Oman ni mshirika muhimu wa maendeleo ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameishukuru Serikali ya Oman kwa kuendelea kutoa misaada inayochangia maendeleo ya Zanzibar katika sekta…

Soma Zaidi

Dkt. Mwinyi amesema Maadili ya Kiimani ni msingi wa Uongozi Bora.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza viongozi wakuu katika taasisi za umma kuzingatia upendo, uadilifu na haki katika kuwasimamia wanaowaongoza…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na wananchi pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali katika maziko ya Bi. Asha Khalid Salum aliyefarik

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na wananchi pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali katika maziko ya Bi. Asha Khalid Salum aliyefariki…

Soma Zaidi

Rais Mwinyi amefutarisha Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika futari aliyoiandaa kwa ajili ya wananchi wa Mkoa wa Mjini…

Soma Zaidi