Habari

Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua za Makusudi za kimkakati kuhakikisha inazipatia Ufumbuzi Changamoto zinazowakabili Watu Wenye Ulemavu hapa Nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua za Makusudi za kimkakati kuhakikisha inazipatia Ufumbuzi Changamoto zinazowakabili…

Soma Zaidi

Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Serikali ya India kwa misaada ambayo imekuwa ikichangia maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameishukuru Serikali ya India kwa misaada ambayo imekuwa ikichangia maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini.…

Soma Zaidi

Rais Mwinyi akaribisha uwekezaji wa Kimataifa Zanzibar, baada ya kuzungumza na Mwenyekiti wa Commonwealth Enterprise.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Zanzibar itaendelea kuwakaribisha wawekezaji wengi zaidi, kwani bado ina fursa nyingi za uwekezaji…

Soma Zaidi

Kila Mwananchi anawajibu wa kutimiza na kudumisha Amani ya Nchi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa kuna umuhimu mkubwa kwa kila Mwananchi kutimiza wajibu wake katika kudumisha Amani.Rais Dkt.…

Soma Zaidi