Habari

Kila Mwananchi anawajibu wa kutimiza na kudumisha Amani ya Nchi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa kuna umuhimu mkubwa kwa kila Mwananchi kutimiza wajibu wake katika kudumisha Amani.Rais Dkt.…

Soma Zaidi

Rais Mwinyi ameongoza mazishi ya Ali Ameir Mohamed mwanasiasa mkongwe wa CCM Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza Viongozi na Wananchi mbalimbali katika Mazishi ya aliyekuwa Mwanasiasa Mkongwe Marehemu Ali Ameir…

Soma Zaidi

Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na Viongozi pamoja na Wananchi mbalimbali katika Mazishi ya Marehemu Bibi Siena Mzee Muhammed

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na Viongozi pamoja na Wananchi mbalimbali katika Mazishi ya Marehemu Bibi Siena Mzee Muhammed aliyefariki…

Soma Zaidi

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameongoza Kikao Kazi kilichowajumuisha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameongoza Kikao Kazi kilichowajumuisha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu, kilichofanyika…

Soma Zaidi

Rais Dkt.  Mwinyi amezindua mauzo ya Nyumba za Kisasa Kisakasaka, na kuagiza Mageuzi Makubwa Sekta ya Makaazi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika miradi ya ujenzi wa nyumba za kisasa ili kuhakikisha kila mwananchi…

Soma Zaidi