Habari

Dk. Hussein Ali Mwinyi amebainisha mikakati ya Serikali juu ya ukuaji uchumi wa Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amebainisha mikakati ya Serikali juu ya ukuaji uchumi wa Zanzibar na kueleza kuwa inaendelea kuwawekea mazingira…

Soma Zaidi

Rais Dkt.Samia asisitiza Nchi za SADC kumaliza Migogoro.

Mwenyekiti wa asasi ya siasa, ulinzi na usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan amezisisitiza nchi za Jumuiya…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa dini ya Kiislamu katika ibada ya sala ya Ijumaa Msikiti wa Maungani Wilaya ya Magharibi B

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa dini ya Kiislamu katika ibada ya sala ya Ijumaa Msikiti wa Maungani Wilaya ya Magharibi…

Soma Zaidi

Rais Mwinyi ameipongeza Benki ya Stanbic kwa nia ya kutaka kufungua Tawi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amepongeza uamuzi wa Benki ya Stanbinc Tanzania wa kuwa na Tawi Zanzibar kwani kutaongeza idadi ya Benki na kurahisisha…

Soma Zaidi

Serikali kukabiliana na maradhi yasiyoambukiza.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi amesema maradhi yasioambukiza ni tatizo linalokuwa na linalohitaji ushirikiano wa taasisi za ndani ya nchi na kimataifa…

Soma Zaidi

SMZ na SMT, zimeandaa mpango wa kuongeza vituo vya uchunguzi na matibabu ya saratani kwa kutumia teknolojia ya nyuklia wenye thamani ya Euro milioni 59

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali za SMZ na SMT, zimeandaa mpango wa kuongeza vituo vya uchunguzi na matibabu ya saratani kwa kutumia teknolojia…

Soma Zaidi