Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza utayari wa uongozi wa Kanisa la Efatha wa kuunga mkono juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuleta maendeleo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza utayari wa uongozi wa Kanisa la Efatha wa kuunga mkono juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika…

Soma Zaidi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kazi kubwa na nzuri ya kuiletea maendeleo Zanzibar

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kazi…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Mwinyi amewataka atendaji wote watakaokabidhiwa dhamana ya kusimamia fedha hizo kuwa wakweli na waaminifu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Mwinyi amesema Serikali inatumia nguvu zote kuongeza fedha kwenye sekta za kiuchumi, hivyo amewataka atendaji wote watakaokabidhiwa…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa matukio mbali mbali yakiwemo kushuka kwa kiwango cha hali ya usalama husababisha kuporomoka kwa utalii.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa matukio mbali mbali yakiwemo kushuka kwa kiwango cha hali ya usalama husababisha kuporomoka kwa utalii.Rais…

Soma Zaidi