Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Mhe Polepole Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemueleza Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi Humphrey Hezron Polepole umuhimu wa kwenda kuifanyia…

Soma Zaidi

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariam Mwinyi ameushukuru uongozi wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar kwa kukubali kupokea sadaka ya Iftar.

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariam Mwinyi ameushukuru uongozi wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar kwa kukubali kupokea sadaka ya Iftar na kutaka itumike vyema kama…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unatimiza miaka 58 bado unaendelea kuimarika kwa kiasi kikubwa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa unatimiza miaka 58 bado…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba mashirikiano ya pamoja yanahitajika katika kuiendeleza na kuiimarisha Serikali ya Umoja wa Kitaifa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba mashirikiano ya pamoja yanahitajika katika kuiendeleza na kuiimarisha Serikali ya Umoja wa Kitaifa…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Jumuiya ya Kuhifadhi Qurani Tanzania chini ya Mwenyekiti wake Sheikh Othman Aki Kaporo kwa kuweza kudumisha mashidnano hayo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Jumuiya ya Kuhifadhi Qurani Tanzania chini ya Mwenyekiti wake Sheikh Othman Aki Kaporo kwa kuweza…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wanaCCM kuhakikisha wanawachagua viongozi makini katika chaguzi za Mashina

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wanaCCM kuhakikisha wanawachagua viongozi makini katika chaguzi za Mashina zilizoanza rasmin kwani hao ndio…

Soma Zaidi