Habari

DK.SHEIN AMETUMA SALAMU ZA PONGEZI KWA SIKU YA JAMHURI YA INDIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya India Shri Ram Nath Kovind kwa kuadhimisha siku ya Jamhuri ya Taifa…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa amersimama na viongozi wa meza wakati ukipingwa wimbo wa Taifa alipowasili katika viwanja vya Polisi Ziwani Zanzibar

CHAKULA MAALUM KILICHOANDALIWA KWA ASKARI WALIOSHIRIKI GWARIDE LA MAADHIMISHO YA MAPINDUZI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameungana pamoja na Wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama walioshiriki katika Maadhimisho ya sherehe za kutimiza…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza vla Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wananchi wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

MIAKA 56 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali itaendelea kutekeleza wajibu wake wa Kikatiba na kisheria katika kulinda amani, utulivu na maisha…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMETOA MSAMAHA KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA MAFUNZO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa msamaha kwa wanafunzi kumi na tisa (19) ambao bado walikuwa wakiendelea kutumikia vyuo vya Mafunzo vya Unguja…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea Maandamano na Maonesho ya Amsha Amsha na Mapinduzi yalioandaliwa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya SMT na SMZ, katika viwanja vya Mnazi Mmoja

AMSHA AMSHA YA VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema jukumu la kudumisha amani na usalama wa nchi ni la wananchi wote na sio la vyombo vya ulinzi na Usalama pekee.

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria kuifungua barabara ya Bububu hadi Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, iliojengwa kwa kiwango cha lami na Kampuni ya (CCECC ) kutoka Nchini China

DK.SHEIN AMEFUNGUA BARABARA YA KIWANGO CHA LAMI KUTOKA BUBUBU HADI MKOKOTONI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wale wote wanaosingizia demokrasia na kuhakiribu kwa makusudi barabara wakiwemo vijana kuacha mara moja tabia…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akitembelea Ujenzhi wa Nyumba mpya za Mji wa Kwahani ikiwa ni shamra shamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

DK. SHEIN AMEWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA NYUMBA ZA KWAHANI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kabla ya Mapinduzi ya 1964, Wazalendo wa Zanzibar walibaguliwa kwa makaazi kutokana na uwezo duni walionao.

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar Dk.Shein afungua Daraja la Kibondemzungu barabara ya Fuoni Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Mapinduzi yalikuwa ni lazima yatokee na kufanywa kutokana na dhulma zilizokuwepo hapa Zanzibar kutokana…

Soma Zaidi