Habari

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena  Lawrence Tax

DK.SHEIN AMEKUTANA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesisitiza umuhimu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kushirikiana ili kuzipatia…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr

DK.SHEIN AMEFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA SADC.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameitaka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuwa na mipango na mikakati ya kupambana na maafa hasa yale…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar.

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI,WANAWAKE NA WATOTO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa kuwepo kwa mazingira ya muhali katika jamii kumeweza kuchangia kwa kiasi kikubwa kudhorotesha mienendo…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango katika Kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja kwa uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango kuwa wabunifu katika kuhakikisha mafanikio zaidi yanapatikana…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali  katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba2019

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA UONGOZI WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya amali kujidhatiti na kuwa na programu maalum ya mafunzo itakayowezesha kuwa…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika Mkutano wa Utekelezaji Mpango kazi kwa Kipindi cha Julai-Disemba 2019,

DK. SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA ARDHI,NYUMBA,MAJI NA NISHATI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ameeleza haja kwa uongozi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati kuendeleza uzalendo na uadilifu katika ufanyaji…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar. Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Kipindi cha Julai hadi  Disemba 2019 / 2020,

Dk.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA AFYA NA WIZARA YA BIASHARA NA VIWANDA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuna umuhimu wa kutizama upya sheria zinazosimamia mwenendo wa usalama wa chakula nchini, ili kuondokana na…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitia mchanga katika kaburi lililokuwa na  mwili wa Marehemu Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Jaji Mkusa Sepetu

DK.SHEIN AMEJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA MAZIKO YA JAJI WA MAHKAMA KUU ZANZIBAR MKUSA SEPETU.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza mazishi ya marehemu Jaji Mkusa Isaac Sepetu yaliyofanyika kijijini kwao Mbuzini, Wilaya ya Magharibi…

Soma Zaidi