Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wananchi kuendeleza utiifu na tabia njema walizokuwa nazo katika kipindi chote cha mwezi wa Ramadhani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wananchi kuendeleza utiifu na tabia njema walizokuwa nazo katika kipindi chote cha mwezi wa Ramadhani…

Soma Zaidi

MKE wa Rais wa Zanzibar na MBLM Mama Mariam Mwinyi amewataka watoto Yatima pamoja na wanaoishi katika mazingira magumu kuendeleza mambo mema waliyojifunza katika mwezi mtukufu wa Ramadhan

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariam Mwinyi amewataka watoto Yatima pamoja na wanaoishi katika mazingira magumu kuendeleza mambo mema waliyojifunza katika…

Soma Zaidi

Mama Mariam Mwinyi ameitaka jamii kuwaangalia kwa jicho la huruma na kuwasaidia watoto yatima wanaoishi na virusi na Ukimwi (VVU)

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariam Mwinyi ameitaka jamii kuwaangalia kwa jicho la huruma na kuwasaidia watoto yatima wanaoishi na virusi na Ukimwi (VVU)…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Mhe Polepole Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemueleza Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi Humphrey Hezron Polepole umuhimu wa kwenda kuifanyia…

Soma Zaidi

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariam Mwinyi ameushukuru uongozi wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar kwa kukubali kupokea sadaka ya Iftar.

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariam Mwinyi ameushukuru uongozi wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar kwa kukubali kupokea sadaka ya Iftar na kutaka itumike vyema kama…

Soma Zaidi