Dk.Hussein Ali Mwinyi ameunga mkono mashirikiano kati ya Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa baraka zake na kuunga mkono mashirikiano yanayoimarishwa kati ya Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA)…
Soma Zaidi